Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo na Naibu Katibu Mkuu Prof. Daniel Mushi tayari wamewasili Bungeni kufuatilia uwasilishaji wa Hotuba ya Bajeti ya wizara hiyo ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2026/27.



Uwasilishaji wa Bajeti unafanywa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda (MB) leo Mei 7, 2026 Bungeni Dodoma