Katibu mkuu wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo ameshiriki Katika kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma kinachofanyika kwa siku nne jijini Arusha