Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Sayansi na Elimu ya Juu Prof. Daniel Mushi Disemba 06, 2024 jijini Dar es Salaam ametembelea maonesho katika Mahafali ya 18 ya Taasisi ya Teknoloajia Dar es Salaam