Na

WyEST

Balozi wa Qatar Nchini Tanzania Mheshimiwa Fahad Rashid Al-Marekhi, leo tarehe 7 Agosti 2025, amekutana na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda katika Pfisi za Wizara Jijini Dar ES Salaam

Lengo kuu la ziara hiyo lilikuwa kujadili maeneo ya ushirikiano kati ya Tanzania na Qatar katika Sekta ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.

Majadiliano hayo yamelenga maeneo ya kipaumbele katika utekelezaji wa Sera ya Elimu ikiwa ni pamoja na kuimarisha mafunzo katika sayansi Teknolojia, lugha za kigeni na mafunzo ya ufundi.