Baadhi ya wanafunzi wakiwaonyesha Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo namna wanavyoingiza Sauti kupitia studio zilizopo katika Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) katika vipindi vinavyofundishwa kupitia redio. Vipindi hivyo hutumika kufundisha kupitia redio na Televisheni