Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda aungana na Viongozi mbalimbali wa Kitaifa wakiongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uwanja wa New Amaan Complex visiwani Zanzibar kuaga mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi, ambaye alifariki Dunia Februari 29, 2024 katika Hospital ya Mzena jijini Dar es Salaam.
Habari
- 1 PAKUA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025
- 2 Viongozi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wakiingia Bungeni
- 3 Pro. Adolf Mkenda akiingia Bungeni tayari kuwasilisha Hotuba ya Bajeti
- 4 Prof. Carolyne Nombo na Prof. James Mdoe wakiingia Bungeni tayari kusikiliza uwasilishwaji wa Bajeti ya WyEST
- 5 Dkt. Amos Nungu akiingia Bungeni kusikiliza uwasilishwaji wa Hotuba ya Bajeti ya WyEST
- 6 Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia 2024/25