Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) Dkt. Amos Nungu akiingia Bungeni leo Mei 07, 2024 kusikiliza uwasilishwaji wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.