Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akisaini kitabu cha Wageni alipotembelea Banda la Wizara ya elimu hii leo Novemba 30, 2023 katika sherehe za Ufunguzi wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA)