
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imekuwa Mshindi wa kwanza katika Tuzo zilizotolewa na Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala bora leo tarehe 11/10/202023 katika Mkutano wa wakuu wa Idara na usimamizi wa Rasilimaliwatu katika utumishi wa umma kwa kufanya vizuri kwenye Usimamizi bora wa Rasilimaliwatu kwenye kundi la Wizara