Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Franklin Rwezimula (kulia), Mkurugenzi wa Uthibiti Ubora wa Shule Ephraim Simbeye na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Bi. Sylvia Lupembe wakiingia Bungeni tayari kusikiliza uwasilishwaji wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo leo Mei 07, 2024.