Viongozi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wakiwa katika picha ya pamoja na wadau wa elimu waliohudhuria viwanja vya Bunge, Mei 7, 2026, wakati Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda, akiwasilisha Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa mwaka wa fedha 2026/2027.