Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. kassim Majaliwa leo Machi 14, 2024 amewasili katika Bandari ya Dar es salaam kwa ajili ya kuzindua Nyaraka za Usimamizi wa Maafa na kushuhudia zoezi la Utayati wa dharura za Kemikali na Kimionzi Tanzania mpango ulio chini ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia
Habari
- 1 Dirisha la Maombi ya Mikopo ya Stashahada kwa March Intake
- 2 RAIS MWINYI AWEKA JIWE LA MSINGI LA JENGO LA SAYANSI ZA BAHARI YA UDSM-BUYU
- 3 TAARIFA YA MATOKEO YA UPIMAJI WA KITAIFA WA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI ILIYOFANYIKA OKTOBA/NOVEMBA 2024
- 4 Heri ya Mwaka Mpya
- 5 HERI YA KRISMASI
- 6 Watumishi wa WyEST nao hawakuwa nyuma wameshiriki Rombo Marathon