Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof Adolf Mkenda amewasili katika Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya ziara yake ya siku moja kwa ajili ya kukagua miradi ya maendeleo katika Chuo hicho.