
Wizara na Taasisi tunajipanga kimkakati kufikia malengo mapana ya Taifa ya kuzalisha nguvu kazi yenye ujuzi utakao wezesha vijana kupata kushiriki kikamilifu katika shughuli za uzalishaji na kuchangia maendeleo ya Taifa." Mhe . Wanu Hafidh Ameir Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia.


