Viongozi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Mei 12, 2025 Bungeni jijini Dodoma, wakati Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia mwaka 2025/26