Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Januari 22, 2024 amekutana na wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa lengo la kujadiliana namna ya kuboresha elimu nchini.