Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akiteta jambo na Naibu Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Wanu Hafidh Ameir baada ya kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa Fedha 2026/27 leo Mei 07, 2026 Bungeni- Dodoma