Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda kwenye picha ya pamoja na menejimenti ya Wizara hiyo, katika katika Ufunguzi wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA).