Viongozi na Watumishi mbalimbali wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia washiriki zoezi la kujiandisha katika daftari la Wapiga Kura
Viongozi na Watumishi mbalimbali wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia washiriki zoezi la kujiandisha katika daftari la Wapiga Kura ili kushiriki katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa.