Dkt. Charles Mahera amewasili wilaya Bagamoyo tayari kushiriki na kutunuku vyeti katika Mahafari ya 32 ya Wanafunzi wa ADEM
Dkt. Charles Mahera, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Desemba 06, 2024 amewasili wilaya Bagamoyo tayari kushiriki na kutunuku vyeti katika Mahafari ya 32 ya Wanafunzi wa Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu (ADEM)