Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa akisalimiana na Viongozi mbalimbali baada ya kuwasili jijini Tanga kuhitimisha Maadhimisho ya Kitaifa ya Elimu, Ujuzi na Ubunifu 2024 yanayofanyika katika Viwanja vya Shule ya Sekondari Popatlal.
Habari
- 1 Jiunge nasi katika Safari hii ya Mabadiliko
- 2 Tanzania na India zakubaliana kushirikiana katika kuandaa nguvu kazi yenye Ujuzi unaohitajika katika nchi zote mbili
- 3 Prof Carolyne Nombo amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Kukuza Usafirishaji wa Huduma Nje (Service Export Promotion Council)
- 4 Prof. Carolyne Nombo ameongoza ujumbe wa Wizara katika ziara ya Ulinganishaji (benchmaking) nchini India
- 5 Uzinduzi Sera ya Elimu na Mafunzo
- 6 Jiunge nasi katika Safari hii ya Mabadiliko