
Ujenzi wa Jengo Jipya la Ofisi za Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia katika Mji wa Serikali Mtumba unakwenda kwa kasi na sasa uwafikia 88%.
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Carolyne Nombo amemwagiza Mkandarasi CRJE (EA) kuhakikisha jengo linakamilika ifikapo June 2024