Katibu Mkuu Prof Carolyne Nombo na wadau mbalimbali wa elimu tayari wamewasili katika hafla ya Uwasilishwaji wa Taarifa ya hali ya ufaulu na ujifunzaji wa wanafunzi inayofanyika Jijini Tanga.