Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omari Kipanga akiingia katika viwanja wa Bunge tayari kwa uwasilishwaji wa Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo leo Mei 07, 2024.