Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali katika kuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyafanyika Januari 12, 2024 visiwani humo.