Katibu Mkuu Prof. Carolyne Nombo na Naibu Katibu Mkuu Prof. James Mdoe wakiingia Bungeni tayari kusikiliza uwasilishwaji wa Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Mei 07, 2024.