Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Mhandisi wa Mtaani (Street Engineer) Adam Zacharia Kinyekile kutoka Tunduma Mkoani Songwe aliebuni na kutengeneza mashine hiyo ya kuvuta maji, kupukuchua mahindi, kusaga nafaka pamoja na kubeba Mizigo na ubunifu wake kuendelezwa na COSTECH katika Maonesho ya Kimataifa ya Wakulima Nane Nane yanayofanyika katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 8 Agosti, 2023.
Habari
- 1 Jiunge nasi katika Safari hii ya Mabadiliko
- 2 Uzinduzi Sera ya Elimu na Mafunzo
- 3 Tanzania na India zakubaliana kushirikiana katika kuandaa nguvu kazi yenye Ujuzi unaohitajika katika nchi zote mbili
- 4 Prof Carolyne Nombo amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Kukuza Usafirishaji wa Huduma Nje (Service Export Promotion Council)
- 5 Prof. Carolyne Nombo ameongoza ujumbe wa Wizara katika ziara ya Ulinganishaji (benchmaking) nchini India
- 6 Jiunge nasi katika Safari hii ya Mabadiliko