Mwalimu Frank Angusi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia akitoa elimu kwa wadau wa Elimu ya Watu Wazima katika Kilele cha Maadhimisho ya kitaifa ya juma la elimu ya watu wazimaMkoani Tabora.
Kauli mbiu yetu “Ujumuishi katika elimu bila ukomo wa Ujuzi, Ustahimilivu, Amani na Maendeleo”