Baadhi ya Wanafunzi wa Chuo cha Ufundi na Huduma (VETA) cha Mkoa wa Kagera wakiwa katika Mafunzo kwa vitendo.
Chuo cha VETA Kagera ni moja ya vyuo vyenye vifaa vya kisasa vya kufundishia na kujifunzia ambavyo vinawawezesha wanafunzi kujifunza kwa vitendo