Prof. Adolf Mkenda azindua Dahalia ya Wanafunzi wa Kike katika Skuli ya Sekondari Kizimkazi Dimbani
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda leo Agosti 24, 2024 azindua Dahalia ya Wanafunzi wa Kike katika Skuli ya Sekondari Kizimkazi Dimbani Kisiwani Unguja.