Kamati ya kupokea maoni ya Mapitio ya Sheria ya Elimu Sura 353 yawasilisha mpango kazi wa utekelezaji kwenye Menejimenti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.