Wabunifu mbambali katika Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) Disemba 06, 2024 wamepokea tuzo na zawadi kwa kuwa na bunifu zinazotatua changamoto mbalimbali katika jamii.