Naibu katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Elimu Dkt, Charles Wilson Mahera amepokea taarifa ya maeneo yaliyopendekezwa kwa ajili ya ufadhili wa ziada Kutoka mpango wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Elimu (GPE).



Kikao hicho kimefanyika leo, Desemba 2, 2024, katika Ukumbi wa NSSF, Jijini Arusha, na kuhudhuriwa na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu