Hongera Mhe. Faustine Ndugulile kwa nafasi uliyopata kutumikia Bara la Afrika katika nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika



Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inajivunia mafanikio hayo kwa Taifa letu kupata nafasi hiyo.