Watumishi wa Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia wakiwapokea Prof. Daniel Elius Mushi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Sayansi na Elimu ya juu na Dkt. Wilson Mahera Charles Naibu katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia anayeshughulikia Elimu msingi.