Baadhi ya wadau wanaoshiriki katika Mkutano wa kujadili Rasimu ya Mkakati wa Kitaifa wa Matumizi ya Teknolojia za Kijiditali katika Elimu ulioanza leo Juni 24, 2024 Jijini Dar es Salaam wakitoa maoni juu ya Rasimu ya Mkakati huo

244