![](http://moe.go.tz/sites/default/files/styles/max660/public/2024/01/22/wizara_elimutanzania-20240122-0001_6.jpg?itok=f6sJ7Rhd)
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo wakielezwa namna Taasisi ya Elimu ya Watu wazima inavyotekeleza majukumu yake .
Katika ziara hiyo Kamati ilijionea vitabu mbalimbali vinavyotumiwa na Taasisi hiyo katika mchakato wa kufundishia na kujifunzia.