Shule hii ni ya mchepuo wa sayansi na ni moja kati ya shule 26 za wasichana zilizojengwa na Serikali kupitia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) katika mikoa yote nchini.