Washiriki mbalimbali wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Mawaden katika taasisi za Elimu ya juu zinazopokea Wanafunzi wenye mahitaji Maalum wakitoa maoni Disemba 06, 2024 katika ukumbi wa Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Mkoani Morogoro

   2