Mkurugenzi wa Kanda ya Mashariki na Kusini wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utekelezaji Miradi (UNOPS) Rainer Frauenfeld amekutana na Uongozi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na kufanya mazungumzo ya namna ya kushirikiana katika kutambua na kutekeleza miradi mbalimbali inayolenga kuimarisha sekta ya elimu.
Habari
- 1 Jiunge nasi katika Safari hii ya Mabadiliko
- 2 Prof Carolyne Nombo amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Kukuza Usafirishaji wa Huduma Nje (Service Export Promotion Council)
- 3 Prof. Carolyne Nombo ameongoza ujumbe wa Wizara katika ziara ya Ulinganishaji (benchmaking) nchini India
- 4 Uzinduzi Sera ya Elimu na Mafunzo
- 5 Tanzania na India zakubaliana kushirikiana katika kuandaa nguvu kazi yenye Ujuzi unaohitajika katika nchi zote mbili
- 6 Prof. Carolyne Nombo amekutana na Balozi wa Tanzania nchini India Mhe. Anisa Kapufi Mbega