IDARA YA UTHIBITI UBORA WA SHULE

1.   MUUNDO WA UONGOZI WA UTHIBITI UBORA WA SHULE

Idara inaongozwa na Mkurugenzi wa Uthibiti Ubora wa Shule akisaidiana na Wakurugenzi Wasaidizi  wa Uthibiti Ubora wa Shulewa vitengo vitatu (03), ambavyo ni Kitengo cha Msingi,Sekondari na Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya Maendeleo ya Wananchi.

2.   OFISI ZA UTHIBITI UBORA WA SHULE

Ofisi za Uthibiti Ubora wa Shule zipo katika Mikoa yote 26 ya Tanzania Bara na katika Halmashauri 184.

3.   MAJUKUMU YA IDARA YA UTHIBITI UBORA WA SHULE

a.   Kufanya  shughuli za Uthibiti Ubora wa Shule wa nje ya shule (external school quality assurance) ili kuona kama utoaji wa elimu katika ngazi zote husika unazingatia Sera, Sheria, Kanuni, Viwango, Taratibu na Miongozo iliyowekwa;
b.   Kufanya tathmini maalum ya usajili na kupendekeza kuhusu kusajiliwa au kutosajiliwa kwa shule za Awali, Msingi, Sekondari na vyuo vya Ualimu;
c.   Kufanya tathmini maalum/uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazojitokeza katika taasisi za Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya FDC na kutoa ushauri wa utekelezaji kwa wahusika wakuu;
d.   Kufuatilia na kutathmini ubora na utekelezaji wa mipango ya Uthibiti Ubora wa ndani  ya Shule katika ngazi ya Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari, Elimu Maalum, Elimu ya Watu Wazima  na Nje ya Mfumo rasmi, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya FDC;
e.   Kumshauri Kamishna wa Elimu katika masuala yanayohusiana na Uendeshaji na Usimamizi wa Shule katika ngazi ya  Elimu ya Awali, Msingi, Sekondari, Elimu Maalum, Elimu ya Watu Wazima na Nje ya Mfumo rasmi, Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya FDC;
f.    Kuandaa na kuwasilisha taarifa mbalimbali za Idara kwa Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, pamoja na kutekeleza maagizo mbalimbali yanayotolewa na Katibu Mkuu.
g.   Kufanya tafiti tatuzi (action research) utakaosaidia kuboresha ufundishaji, usimamizi na uendeshaji wa Shule/Vyuo; na
h.   Kushirikiana na Taasisi ya Elimu Tanzania na Baraza la Mitihani  Tanzania ili  kuhakikisha kunakuwepo na  Elimu inayozingatia viwango bora katika ngazi zote za ElimuMsingi.
 
ANUANI ZA OFISI ZA UTHIBITI UBORA HALMASHAURI 184 TANZANIA BARA
Na.MkoaHalmashauriAnuani ya Posta
1ArushaArusha JijiS.L.P 3013 Arusha
2ArushaArusha Halmashauri Ya WilayaS.L.P 2025 Arusha
3ArushaKaratu Halmashauri Ya WilayaS.L.P 5 Karatu
4ArushaLongido Halmashauri Ya WilayaS.L.P 61 Longido
5ArushaMeru Halmashauri Ya WilayaS.L.P 759 Usa River
6ArushaMonduli Halmashauri Ya WilayaS.L.P 46 Monduli
7ArushaNgorongoro Halmashauri Ya WilayaS.L.P 91 Loliondo
8ManyaraBabati MjiS.L.P  569 Babati
9ManyaraBabati Halmashauri Ya WilayaS.L.P 542 Babati
10ManyaraHanang Halmashauri Ya WilayaS.L.P 72 Katesh
11ManyaraKiteto Halmashauri Ya WilayaS.L.P 94 Kibaya - Kiteto
12ManyaraMbulu  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 154 Mbulu
13ManyaraMbulu MjiS.L.P 154 Mbulu
14ManyaraSimanjiro Halmashauri Ya WilayaS.L.P 9501 Orkesumet Sumanjiro
15IringaIringa ManispaaS.L.P 1355 Iringa
16IringaIringa  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 984 Iringa
17IringaKilolo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 2344 Kilolo
18IringaMafinga MjiS.L.P 520 Mafinga
19IringaMufindi Halmashauri Ya WilayaS.L.P 264 Mafinga
20NjombeNjombe MjiS.L.P  313 Njombe
21NjombeNjombe  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 246 Njombe
22NjombeMakambako MjiS.L.P 1153 Makambako
23NjombeWanging’ombe Halmashauri Ya WilayaS.L.P 584 Njombe
24NjombeMakete Halmashauri Ya WilayaS.L.P  45 Makete
25NjombeLudewa Halmashauri Ya WilayaS.L.P 47 Ludewa
26RuvumaSongea ManispaaS.L.P  153 Songea
27RuvumaMadaba Halmashauri Ya WilayaS.L.P 2 Madaba
28RuvumaSongea  Halmashauri Ya Wilaya S.L.P 801 Songea
29RuvumaMbinga MjiS.L.P 165 Mbinga
30RuvumaMbinga  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 312 Mbinga
31RuvumaNyasa Halmashauri Ya WilayaS.L.P 90 Mbamba Bay
32RuvumaNamtumbo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 55 Namtumbo
33RuvumaTunduru Halmashauri Ya WilayaS.L.P 135 Tunduru
34MtwaraMtwara MCS.L. P 648,  Mtwara
35MtwaraMtwara DCS.L. P 615,  Mtwara
36MtwaraMasasi TCS.L.P 130 Masasi
37MtwaraMasasi DCS.L.P  20, Masasi
38MtwaraNewala TCS.L.P 186 Newala
39MtwaraNewala DCS.L.P  186 Newala
40MtwaraNanyumbu S.L.P 39, Masasi
41MtwaraNanyambaS.L.P  619, Mtwara
42MtwaraTandahimbaS.L.P 44, Tandahimba
43LindiLindi ManispaaS .L .P   564 Lindi
44LindiNachingweaS .L .P   251  Nachingwea
45LindiLiwale S .L .P   106  Liwale
46LindiKilwaS .L .P    97    Kilwa
47LindiMtamaS . L .P  561   Lindi
48LindiRuangwa S .L .P     61    Mtama
49MwanzaKwimba Halmashauri Ya WilayaS.L.P 30 Ngudu -Kwimba
50MwanzaBuchosa  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 331 Sengerema
51MwanzaMagu Halmashauri Ya WilayaS.L.P 182 Magu
52MwanzaMisungwi Halmashauri Ya WilayaS.L.P 82 Misungwi
53MwanzaNyamagana Halmashauri Ya WilayaS.L.P 1333 Mwanza
54MwanzaIlemela Halmashauri Ya WilayaS.L.P 11644 Ilemela
55MwanzaUkerewe Halmashauri Ya WilayaS.L.P 234 Nansio - Ukerewe
56MwanzaSengerema HalmashauriS.L.P 229 Sengerema
57MaraBunda  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 255 Bunda
58MaraBunda MjiS.L.P 255 Bunda
59MaraButiama Halmashauri Ya WilayaS.L.P 806 Butiama
60MaraMusoma ManispaaS.L.P 194 Musoma
61MaraMusoma  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 438 Musoma
62MaraRorya Halmashauri Ya WilayaS.L.P 65 Tarime- Rorya
63MaraSerengeti Halmashauri Ya WilayaS.L.P 66 Mugumu - Serengeti
64MaraTarime MjiS.L.P 188 Tarime
65MaraTarime  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 188 Tarime
66GeitaGeita MjiS.L.P 127 Geita
67GeitaGeita  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 17 Geita  
68GeitaChato Halmashauri Ya WilayaS.L.P 147 Chato
69GeitaMbogwe Halmashauri Ya Wilaya30404 S.L.P  14 Mbogwe
70GeitaBukombe Halmashauri Ya WilayaS.L.P  53 Bukombe
71GeitaNyang’hwale Halmashauri Ya WilayaS.L.P 388 Geita
72MbeyaMbeya JijiS.L.P 1158 Mbeya
73MbeyaMbeya  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 401 Mbeya 
74MbeyaChunya Halmashauri Ya WilayaS.L.P 18 Chunya
75MbeyaMbarali Halmashauri Ya WilayaS.L.P 210 Rujewa - Mbarali
76MbeyaRungwe Halmashauri Ya WilayaS.L.P 250 Tukuyu
77MbeyaBusokelo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 250 Tukuyu
78MbeyaKyela Halmashauri Ya WilayaS.L.P 23 Kyela
79RukwaKalambo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 03 Matai - Kalambo
80RukwaSumbawanga  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 322 Sumbawanga
81RukwaSumbawanga ManispaaS.L.P 717 Sumbawanga
82RukwaNkasi HalmasahuriS.L.P 103 Namanyere - Nkasi
83KataviMlele HalmasahuriS.L.P 686 Mlele 
84KataviMpimbweS.L.P 319 Mpanda
85KataviNsimboS.L.P 519 Mpanda
86KataviMpanda ManispaaS.L.P 322 Sumbawanga
87KataviTanganyika  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 213 Mpanda
88TangaBumbuli HalmasahuriS.L.P 122 Bumbuli
89TangaHandeni MjiS.L.P  378 Handeni
90TangaHandeni  Halmashauri Ya WilayaS.L.P  378 Handeni
91TangaKilindi Halmashauri Ya WilayaS.L.P 13 Songe
92TangaKorogwe MjiS.L.P 513 Korogwe
93TangaKorogwe  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 460 Korogwe
94TangaLushoto HalmasahuriS.L.P 256 Lushoto
95TangaMkinga Halmashauri Ya WilayaS.L.P 1347 Tanga
96TangaMuheza HalmasahuriS.L.P 456 Muheza
97TangaPangani Halmashauri Ya WilayaS.L.P 99 Pangani
98TangaTanga JijiS.L.P 1963 Tanga
99KilimanjaroHai Halmashauri Ya WilayaS.L.P 11 Hai
100KilimanjaroMoshi ManispaaS.L.P 8049 Moshi
101KilimanjaroMoshi  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 812 Moshi
102KilimanjaroMwanga Halmashauri Ya WilayaS.L.P 52 Mwanga
103KilimanjaroRombo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 67 Rombo
104KilimanjaroSiha Halmashauri Ya WilayaS.L.P 129 Siha
105KilimanjaroSame Halmashauri Ya WilayaS.L.P 128 Same
106SingidaIramba Halmashauri Ya WilayaS.L.P  140 Kiomboi
107SingidaMkalama HalmasahuriS.L.P  633 Singida
108SingidaSingida  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 804 Singida
109SingidaSingida ManispaaS.L.P 154 Singida
110SingidaIkungi HalamsahuriS.L.P 42 Singida
111SingidaItigi Halmashauri Ya WilayaS.L.P 144 Itigi
112SingidaManyoni Halmashauri Ya WilayaS.L.P 190 Manyoni
113DodomaDodoma JijiS.L.P 2782 Dodoma
114DodomaBahi Halmashauri Ya WilayaS.L.P 1882 Bahi
115DodomaChemba Halmashauri Ya WilayaS.L.P 300 Chemba
116DodomaKondoa MjiS.L.P 111 Kondoa
117DodomaKondoa  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 422 Kondoa
118DodomaKongwa Halmashauri Ya WilayaS.L.P  138 Kongwa
119DodomaMpwapwa Halmashauri Ya WilayaS.L.P 162 Mpwapwa
120DodomaChamwino Halmashauri Ya WilayaS.L.P 1960 Dodoma
121MorogoroMorogoro MCS.L.P 1135 Morogoro MC
122MorogoroMorogoro DCS.L.P 1135 Morogoro DC
123MorogoroIfakara TCS.L.P 305 Ifakara TC
124MorogoroMlimbaS.L.P 253 Mlimba DC, Ifakara
125MorogoroKilosaS.L.P 196, Kilosa
126MorogoroGairoS.L.P 28, Gairo
127MorogoroMalinyiS.L.P 69, Malinyi
128MorogoroUlangaS.L.P 144, Mahenge, Ulanga
129MorogoroMvomeroS.L.P 53, Mvomero
130PwaniKibiti Halmashauri Ya WilayaS.L.P 33 Kibiti
131PwaniBagamoyoS.L.P 31 Bagamoyo
132PwaniChalinze Halmashauri Ya WilayaS.L.P  13 Chalinze
133PwaniKibaha MjiS.L.P 30140 Kibaha
134PwaniKisaraweS.L.P 28076 Kisarawe
135PwaniKibaha  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 30374 Kibaha
136PwaniMkuranga Halmashauri Ya WilayaS.L.P 25 Mkuranga
137PwaniRufiji Halmashauri Ya WilayaS.L.P 44 Utete
138PwaniMafia Halmashauri Ya WilayaS.L.P 100 Mafia
139TaboraKaliua Halmashauri Ya WilayaS.L.P 83 Tabora
140TaboraUrambo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 297 Urambo
141TaboraSikonge Halmashauri Ya WilayaS.L.P 17 Sikonge
142TaboraTabora ManispaaS.L.P 1569 Tabora
143TaboraUyui Halmashauri Ya WilayaS.L.P 1715 Tabora
144TaboraNzega   Halmashauri Ya WilayaS.L.P 76 Nzega
145TaboraNzega  MjiS.L.P 387 Nzega
146TaboraIgunga Halmashauri Ya WilayaS.L.P 125 Igunga
147ShinyangaKishapu HalmasahuriS.L.P 16 Kishapu 
148ShinyangaShinyanga   Halmashauri Ya WilayaS.L.P 384 Shinyanga
149ShinyangaShinyanga ManispaaS.L.P 585 Shinyanga
150ShinyangaKahama ManispaaS.L.P 402 Kahama
151ShinyangaMsalala Halmashauri Ya WilayaS.L.P 123 Kahama
152ShinyangaUshetu Halmashauri Ya WilayaS.L.P 64 Kahama
153SimiyuBariadi  MjiS.L.P 266 Bariadi
154SimiyuBariadi    Halmashauri Ya WilayaS.L.P 221 Bariadi
155SimiyuBusega Halmashauri Ya WilayaS.L.P 157 Busega
156SimiyuItilima HalamsahuriS.L.P 455 Bariadi
157SimiyuMaswa Halmashauri Ya WilayaS.L.P 237 Maswa
158SimiyuMeatu Halmashauri Ya WilayaS.L.P 6 Meatu
159DsmIlala ManispaaS.L.P 7467          Dsm
160DsmKigamboni ManispaaS.L.P 9403          Dsm
161DsmTemeke ManispaaS.L.P 42013       Dsm
162DsmUbungo ManispaaS.L.P 2656         Dsm
163DsmKinondoni ManispaaS.L.P 71669        Dsm
164KigomaKigoma ManispaaS.L.P 1057 Kigoma
165KigomaKigoma  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 234   Kigoma
166KigomaKasulu  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 97 Kasulu
167KigomaKasulu MjiS.L.P 29 Kasulu
168KigomaKakonko Halmashauri Ya WilayaS.L.P 98 Kakonko
169KigomaUvinza Halmashauri Ya WilayaS.L.P 26 Uvinza
170KigomaBuhigwe Halmashauri Ya WilayaS.L.P 443 Buhigwe
171KigomaKibondo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 14 Kbondo
172KageraBiharamulo Halmashauri Ya WilayaS.L.P 35 Biharamulo
173KageraMuleba Halmashauri Ya WilayaS.L.P 123 Muleba
174KageraKaragwe Halmashauri Ya WilayaS.L.P  70 Karagwe
175KageraNgara Halmashauri Ya WilayaS.L.P 15 Ngara
176KageraMissenyi Halmashauri Ya WilayaS.L.P 38 Kyaka
177KageraKyerwa Halmashauri ya WilayaS.L.P 329 Kyerwa
178KageraBukoba  Halmashauri Ya WilayaS.L.P 1793 Bukoba
179KageraBukoba ManispaaS.L.P 1796 Bukoba
180SongweIleje Halmashauri Ya WilayaS.L.P 10 Ileje
181SongweMbozi HamashauriS.L.P 512 Mbozi
182SongweSongwe Halmashauri Ya WilayaS.L.P 104 Songwe
183SongweTunduma Mji S.P.L 12 Tunduma
184SongweMomba Halmashauri Ya WilayaS.L.P 264  Momba

MIONGOZO

KIUNZI CHA UTHIBITI UBORA WA SHULE

MWONGOZO WA UTHIBITI UBORA WA SHULE