Viongozi wakifurahi pamoja na wanafunzi wa sekondari na elimu ya msingi baada ya uwasilishwaji wa maoni yao ndani ya Mkutano wa Mwaka wa Pamoja wa Tathmini ya Sekta ya Elimu 2023/24 Jijini Dodoma.