Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia yaendelea na kazi ya kuwanoa Walimu kuhusu Mtaala mpya wa Elimu, ambapo jumla ya Walimu 620 kutoka kata zote 20 za Halmashauri ya wilaya ya Monduli washiriki mafunzo hayo yaliyoanza Januari 10, 2024.
Habari
- 1 Jiunge nasi katika Safari hii ya Mabadiliko
- 2 Uzinduzi Sera ya Elimu na Mafunzo
- 3 Tanzania na India zakubaliana kushirikiana katika kuandaa nguvu kazi yenye Ujuzi unaohitajika katika nchi zote mbili
- 4 Prof Carolyne Nombo amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Kukuza Usafirishaji wa Huduma Nje (Service Export Promotion Council)
- 5 Prof. Carolyne Nombo ameongoza ujumbe wa Wizara katika ziara ya Ulinganishaji (benchmaking) nchini India
- 6 Jiunge nasi katika Safari hii ya Mabadiliko