Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf. Mkenda amekutana na kufanya Mazungumzo na Askofu Abednego Kesho Mshahara wa Kanisa KKKT Dayosis ya Kaskazini Magharibi Jijini Dodoma na kufanya Mazungumzo kuhusu Utekelezaji wa Sera, Mtaala na mikakati mbalimbali ya Elimu