Jumanne ya Kielimu, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Pro. Adolf Mkenda akiingia Bungeni leo Mei 07, 2024 tayari kuwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo.