Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Philemon Luhanjo leo 03.07.2024 anatoa mafunzo ya uongozi kwa Menejimenti ya Wizara katika semina maalum kwa viongozi inayoendelea Jijini Dar es Salaam.



Mafunzo hayo yanahudhuriwa na Katibu Mkuu Prof Carolyne Nombo Naibu Makatibu Wakuu Prof.James Mdoe, Dkt Rwezimula, Wakuu wa Idara na vitengo