
Leo tunazindua miongozo minne ya Elimu Maalum na Jumuishi# Mwongozo wa Shule Nyumbani (home Schooling). #Mwongozo wa ziara majumbani.#Mwongozo wa Ubainishi wanafunzi wenye Mahitaji maalum.#Mwongozo wa Uanzishwaji na uendeshaji Shule/Vyuo vya wanafunzi wenye mahitaji maalum na Jumuishi (standards)
Hii ni hatua kubwa kwa taifa letu kwani ni kwa mara ya Kwanza tunakuwa na miongozo stahiki inayowezesha utoaji wa Elimu.