Viongozi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia leo Januari 10, 2025 jijini Dodoma wakizungumza na Waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa Sera ya Elimu na Mafunzo 2014, Toleo la 2023 tarehe 31 Januari 2025 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma