Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda wameshawasili katika Kongamano la Kwanza kuhusu Dhima ya Lugha za Asili katika kujenga Tamaduni- Mtambuka, Diplomasia ya Kiisimu ya Kiuchumi linalofanyika Februari 20, 2024 Jijini Dar es Salaam.
Habari
- 1 PAKUA BAJETI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025
- 2 Pro. Adolf Mkenda akiingia Bungeni tayari kuwasilisha Hotuba ya Bajeti
- 3 Dkt. Amos Nungu akiingia Bungeni kusikiliza uwasilishwaji wa Hotuba ya Bajeti ya WyEST
- 4 Prof. Carolyne Nombo na Prof. James Mdoe wakiingia Bungeni tayari kusikiliza uwasilishwaji wa Bajeti ya WyEST
- 5 Dk Said Mohammed akiingia Bungeni kufuatilia uwasilishaji wa Hotuba ya Bajeti
- 6 Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia 2024/25