Leo Agosti 20, 2024 Makamu wa Rais ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango anatembelea eneo la ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi VETA Wilaya ya Mpwapwa Mkoani Dodoma.
Viongozi mbalimbali na Wananchi akiwemo Mkurugenzi wa Elimu, ya Ufundi kutoka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Fredrick Salukele wakiwa katika eneo hilo.